Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhe. Said Mohamed Mtanda leo amemtembelea na kumjulia hali Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali David Waryoba Musuguri anayeendelea na matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Bugando,Jijini Mwanza pic.twitter.com/QMCLDm471O

— RS-Mara (@RSMara20) June 6, 2023